Kulikoni Ughaibuni

Tulipokuwa tunatafuta elimu Mlimani (UDSM picha ya kwanza) kuna profesa mmoja alikuwa anatupiga madongo sana: Anasema  “wakati  muda huu mwanangu anacheza na kompyuta (kama huyo dogo mwenye laptop), wewe mwanao anacheza kombolela au anachezea vifuu. Mwanangu akikua na kupata kazi nzuri, kisha mwanao akikua na kuishia kuwa jambazi utasema AMEROGWA!” Ilikuwa inauma kumsikia Profesa huyo mjivuni lakini ndo ukweli wenyewe. Mtengenezee mwanao future sasa! #SharingIsCaring

Comments
#TBT May 2008: Millennium Towers, Dar es Salaam: Hivi huyu twiga bado yupo au karejea mbugani kama hajauzwa Uarabuni?  (at Glasgow)

#TBT May 2008: Millennium Towers, Dar es Salaam: Hivi huyu twiga bado yupo au karejea mbugani kama hajauzwa Uarabuni? (at Glasgow)

Comments
Fake this, fake that: Looks like everything is fake…what’s next? Rais feki 2015!? (at Glasgow)

Fake this, fake that: Looks like everything is fake…what’s next? Rais feki 2015!? (at Glasgow)

Comments
A rare #selfie (at Dowanhill)

A rare #selfie (at Dowanhill)

Comments
Mwezi ujao, #Scotland itapiga kura kuamua ibaki sehemu ya #UnitedKingdom au iwe nchi huru. Kampeni zinaendeshwa kistaarab mpaka unaskia raha. Pichani ni tangazo la kambi inayotaka “Muungano wa UK” uendelee. (at Petershill)

Lyrics: “Bongo Hiphop” ~ @FidQ ft P.Funk

Track: Bongo Hiphop
LYRICS
Artists: Fid Q feat P-Funk Majani

BONGO HIPHOP

VERSE 1:

Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua/
Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua/
Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko/na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko/
Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi/
Sikusound garbage au kuchange suddenly../
Mie ni mjeshi so naweza fight savagely/
Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni/sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni/
Penzi ni kipofu na anayemuona halioni/ sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni/
I started young.. I made my mother’s womb a drum/
My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa/
BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen/ my 1st.. my last & everything in betweenjj

Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame/
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

VERSE 2:

Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami/ na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani/
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey/
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee/
Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari/ ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari/
Sio tu bongo.. mpaka Ng’ambo hakuna uhuru wa habari/ kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali/
Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi/ unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi/
Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia/ na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia/
Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati/ mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji/
Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate/
Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate

Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

VERSE 3:
Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu/
Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu/
Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem/
Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu?/
Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya/
Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya/
I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU/
Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop/
MC anayetaka beef.. amlete maza ake kwa strip club/
BONGOFLAVA wananipima.. kama nimeiva kimasomo/ wanagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common/
Cha ajabu humitempt.. ili nikuache hiphop/ anaahidi atanipa good sex.. wewe unanipa true love/
Hajui ’ who’s next.. wewe unanipa tu mashavu/
Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini/
Nami sikuutamani ustaa.. ustaa ulinitamani mimi/
Nilichohitaji.. nikuitumia hii sanaa.. nishee na nyinyi hii zawadi, niliyopewa na mpaji ninayemuamini/
MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni wini/ na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi/
Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi/
Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha/
Nikitoa ngoma wanaitaka wanaipata coz wewe ni special….

Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame/
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

(Source: goo.gl)

Comments
Bungeni Uganda: Wabunge wameguswa na mjadala hadi macho yamewaishia nguvu. #ILoveAfrica!

Bungeni Uganda: Wabunge wameguswa na mjadala hadi macho yamewaishia nguvu. #ILoveAfrica!

Comments
Nimetumiwa na rafiki… (at Kelvin Walkway)

Nimetumiwa na rafiki… (at Kelvin Walkway)

Comments
Hongera mdogo wangu mpendwa kwa kujifungua. Mungu akubariki wewe na huyo anko wangu mpya na awajalie afya njema na maisha marefu. (at Wyndford Pitches)

Hongera mdogo wangu mpendwa kwa kujifungua. Mungu akubariki wewe na huyo anko wangu mpya na awajalie afya njema na maisha marefu. (at Wyndford Pitches)

Comments
Nelson Mandela Place, Glasgow (at Buchanan Street)

Nelson Mandela Place, Glasgow (at Buchanan Street)

Comments